Social Icons

Wednesday, September 19, 2012

NUSU UTUPU YA WEMA NA AUNT EZEKIEL KATIKA HISTORIA


Na viongozi wa kundi wakiwa wanafurahia kitendo hicho........
Baada ya Ant Ezekiel  kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta  katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amefaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia. 

2 comments:

  1. I am a champion of freedom to everything as long as it makes you happy

    ReplyDelete